dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Safi sana. Atakuja kwetu MsimbaziKocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amemkataa kipa Beno Kakolanya na kwamba ameruhusu aendfe timu nyingine na si Yanga.
Akizungumza na Yanga TV Zahera amesema wale waliomwambia aache kufanya mazoezi wamtafutie timu kabla ya dirisha la usajili kufungwa ila kwa Yanga haiwezekani tena.
Mwinyi Zahera halijui soka la Tanzania viongozi na mashabiki kwa Sasa watamuunga mkono kwasababu Yanga wanapata matokeo Kila msimamo wake ataonekana kocha Bora.
Siku Yanga watakapo Anza kupoteza mechi hata amini atakachokiona watamgeuka pale jangwani na watamfurusha na viboko wakiongoza na mzee Akilimali. Simba na Yanga hazijui vizuri huyu.
Unamuacha kakolanya unategemea Kabwili hadi mwisho wa msimu?
Sina tatizo na Beno kutokurudi Yanga shida je Nani anaziba nafasi yake?Kwa upande mwingine uko sahihi kwamba matokeo yakianza kuwa hasi kwa Yanga upepo utabadilika...lakini hii ni kwa dunia nzima kwani hii ndiyo saikolojia ya mashabiki wote wa soka duniani..lakini kwa ujumla wake kocha Zahera yuko sahihi kabisa.Huwezi kumkaribisha mchezaji aliyegoma..kwani mwenye matatizo ya kucheleweshewa malipo siyo Beno peke yake...wachezaji kadhaa wa Yanga wana madai yao...sasa Beno alifanya hivyo kwa kuwa alivimbishwa kichwa yeye ndiye kipa bora kwa Yanga na kwamba ni lazima atingishe kiberiti kwa kugoma...ni jambo baya sana...yaani waandishi wa habari wanaowadai mishahara kadhaa waajiri wao wagome kwenda kazini!!! Halafu wafanyakazi wa taasisi za ummawenye madai yao wagome kwenda kazini...haiwezekani...alichofanya Kakolanya ni upuuzi wa kiwango cha juu...hisia zangu zinanituma niamini kuwa Beno alishawishiwa afanye hivyo na meneja wake ambaye ni kiongozi wa Simba kwa lengo la kuihujumu Yanga...Yanga kamwe wasikubali Beno arudi Yanga, aende huko huko ikibidi aende Simba...Yanga mwaka 1976 iliwahi kufukuza wachezaji wote wa kikosi cha kwanza na kuanza upya, mwaka 1977 ilifunggwa 6-0 na Simba lakini Yanga haikufa moyo....iliendelea kujijenga na mwaka 1981 Yanga ikajikomboa kwa kuichapa Simba goli 1-0 kwa bao la Juma Mkambi.....
Sina tatizo na Beno kutokurudi Yanga shida je Nani anaziba nafasi yake?
Unaleta kiburi wakati njaa inauma na msosi unauona
Sina tatizo na Beno kutokurudi Yanga shida je Nani anaziba nafasi yake?
Unaleta kiburi wakati njaa inauma na msosi unauona
Mnataka kumbebesha dogo zigo la lawama siku atakayofanya makosa mashabiki wa Yanga watakavyomshukia na ukizingatia umri wake mtamuua kabisa confidence yake.Kabwili atachukua nafasi yake..madhara ya kurudi huyo Beno ni makubwa kuliko akiendelea kuwa nje ya timu...
Kabwili atakapokuwa majeruhi, hakutakuwa na mbadala zaidi ya KindokiKabwili atachukua nafasi yake..madhara ya kurudi huyo Beno ni makubwa kuliko akiendelea kuwa nje ya timu...
Mnataka kumbebesha dogo zigo la lawama siku atakayofanya makosa mashabiki wa Yanga watakavyomshukia na ukizingatia umri wake mtamuua kabisa confidence yake.
Kabwili Hana uwezo wake kubimili mechi za Azam na Simba
Kabwili atakapokuwa majeruhi, hakutakuwa na mbadala zaidi ya Kindoki
Uko sahihi Mkuu.....dah ilikuwa ni shiidahYanga wapate Matokeo wasipate Matokeo Zahera yuko asilimia 100 sahihi hatutaki mambo ya Yanga Bwanga Sisi (Nafikiri wote mnaikumbuka vizuri ile issue ya Yanga Bwanga na kilichotokea)
Mchukueni mkuuHeko kocha Zahara.Usajiri bwerere wa Kakolanya unanukia Msimbazi.
Yaani kocha bwege lilitaka Beno acheze tu huku familia ina njaa,watoto wanarudishwa hawana karo ya shule?Hata Ronaldo au Messi wanaweza kugoma usipowapa salary,huyo Neymar ndo usiseme kabisa.
hamna namna sasa.Mwinyi Zahera halijui soka la Tanzania viongozi na mashabiki kwa Sasa watamuunga mkono kwasababu Yanga wanapata matokeo Kila msimamo wake ataonekana kocha Bora.
Siku Yanga watakapo Anza kupoteza mechi hata amini atakachokiona watamgeuka pale jangwani na watamfurusha na viboko wakiongoza na mzee Akilimali. Simba na Yanga hazijui vizuri huyu.
Unamuacha kakolanya unategemea Kabwili hadi mwisho wa msimu?