Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu.

Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.

1669967556449.jpeg
 
Mimi nilijua tu kwa kitendo kile kuisema Yanga kwenye media huku akionekana kupaka mchanga kibarua cha Nabi nikajua huyu anatafuta ulaji aidha Yanga au anajipigia chapuo sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamefanya vizuri kumpa mkataba wa miezi 6 tu.

Maana wangempa mkataba mrefu; basi kwenye usajili wa dirisha dogo la January, lazima angemrudisha tena nchini yule mshambuliaji wake butu Papaa David Molinga "Falcao"
 
Amchukue ajibu sasa maana makocha wote wameshindwa kuishi nae kwa ujeuri
 
Back
Top Bottom