Mwinyi Zahera: Kocha mwenye Saikolojia ya hali ya juu kwa Wachezaji wake

Umembeza wewe.Mimi nimesema ndio maana ni kocha msaidizi wa Congo na sio kocha Mkuu.Tafsiri ni ya kwako sio ya kwangu.
 
Walisema akianza mechi za mkoani atakiona cha mtema kuni! Mwadui kapigwa na kagera sugar kadundwa, point 6 kanda ya ziwa si kidogo tena bila kevin, tshishimbi, gadiel, kakolanya. Changamoto za mishahara uchaguzi figisu za nje na ndani
 
Baada ya kuwadhishia kipigo kizito.. 30/09 ndo itakua siku yake ya mwisho kufanya kazi Ndala Microfinance.
Nadhani baada ya Yanga kutoa kipigo kwenye mikoa mbalimbali sasa umemwelewa Papa Mwinyi zahera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…