Mwinyi Zahera kutambulishwa kwenye klabu ya Simba leo mchana

Nchi hii inaongoza kwa unafiki duniani.....huyu huyu Zahera ambaye alikuwa anatukanwa 24/7,hadi press conference zilikuwa zinaitishwa kwasababu yake......wanasiasa, viongozi wa michezo pamoja na mashabiki wanaishi kwa unafiki.....ni ngumu kusogea kwa huu ujinga....anywei bila shaka mtamshonea Suluari za kuvaa
 
Haya ndo machafua sherehe hata sijui yanafata nini

Sasa zuhuru wanamleta wanini pale msimbazi?

Labda kama wanamuajiri awe mwalimu wa simba queens kama kujishkiza huku akiendelea kufuatilia madeni yake pale yanga

Akiwa mwalimu wa Simba Queens, vipi Mgosi akale wapi?
 
Maisha bila unafki hayaendi.
 
Usipanic ,utaalam na uzoefu wake unamlinda kupata ajira simba pale. Tunahtaji wachezaji kutoka DRC, wenye umri mdogo na wapiganaji uwanjani na maeneo mengine ya Tanzania.
 
Usipanic ,utaalam na uzoefu wake unamlinda kupata ajira simba pale. Tunahtaji wachezaji kutoka DRC, wenye umri mdogo na wapiganaji uwanjani na maeneo mengine ya Tanzania.
Siwezi kupanic.......sioni jipya ambalo Mwinyi anaweza kuoffer na kuwa scout wa kuwaletea wachezaji vijana, wakati kila siku alikuwa anajitapa kuwa anaishi ufaransa......anyway kupanga ni kuchagua
 
Watu mnavohisi na kufanya hizo tetesi kuwa kweli, mtaumbuka saa sita ikifika mark my words
 
Muda ndio huu unakaribia kujua mbivu na mbichi, je mnaumbuka wajuaji au mko sahihi!!
 
Ngoja tusubilie mda ufike acheni povu jmn, huyu vipensi na kofia labda atapewa kazi ya kuwa dalali wa kuwauza wachezaji wetu wa tz kama Nchimbi, kaseja, kesi, ajibu, na wale wote wasio funga na wazembe uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…