Mwinyi Zahera: Malengo ya Yanga msimu huu hayakuwa kuchukua kombe la ligi wa ASFC

Mwinyi Zahera: Malengo ya Yanga msimu huu hayakuwa kuchukua kombe la ligi wa ASFC

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amesema malengo yao msimu huu hayakuwa kushiriki michuano ya Kimataifa na hata kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho

Zahera ameyasema hayo mara baada ya kipigo cha jana cha goli 2-0 dhidi ya Lipuli katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup(ASFC) uliofanyika katika Uwanja wa Samora mjini Iringa

Pia, amedai kwenye ligi malengo yao hayakuwa kubeba ubingwa lakini baada ya kuwa wanacheza na wanashinda wakaamini kuwa wanaweza kubeba ubingwa

Kocha huyo ameongeza kuwa hawana cha kupoteza kipindi hiki na sasa wanajipanga kwa msimu ujao baada ya kushindwa kuwa mabingwa wa kombe na ASFC
 
Sawa
FB_IMG_15572004737328694.jpeg
 
Duuuuh... Anafaa kufanya siasa huyu🤣🤣🤣
 
Lengo lake kuu ni kufungwa na Lipuli,,
#nimekuelewa mutu ya congo
 
Hivi jamani Jerry Muro alisemaje vile kuhusu huyo Mkongo?

Watani zetu kwakweli mmeshikwa vilivyo..[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom