Msimu umeanza, maji na mafuta yameanza kujitenga. Toka msimu wa 2018\2019 sikuona chochote kwa mwalimu Mwinyi Zahera. Michuano ya AFCON ikaja kunihakikishia kuwa Mwinyi Zahera si chochote. Msimu huu toka umeanza tuliambiwa kuwa wachezaji wote waliosajiliwa ni kwa maelekezo ya mwalimu kulingana na mapungufu ya msimu uluopita. Mwezi wa tatu huu Mwinyi Zahera kashindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Timu kupigapa pasi mbili shida. Timu inajiendea tuu. Hakuna game chemistry. Wachezaji hawajiamini. Kwa wachezaji waliopo walikuwa wanahitaji mwalimu wa kuwaunganisha na kuwa tishio. Mwalimu Mwinyi Zahera ni muongo muongo tuu. Bingwa wa kujifisha chini ya kichaka cha uyoga.
Yanga fanyeni juu chini kuondokana na Zahera.