Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Papaa Mwinyi Zahera.... Hivi ni Rais, Mwenyekiti, kocha, msemaji, katibu au mweka hazina wa Yanga! Sielewi elewi hapa!
Nasikia kamfukuza meneja
Nasikia kamfukuza meneja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Jacky of all trade, yeye anajua kila kitu, kocha yeye, mchambuzi yeye, msemaji yeye, mfadhili yeye
Naipenda sana Yanga ila Zahera amekua kama ni tatizo pale, ni kweli katusaidia ila asitumie hicho kigezo kutuona sisi ni mabwege mtozee