Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni Jacky of all trade, yeye anajua kila kitu, kocha yeye, mchambuzi yeye, msemaji yeye, mfadhili yeye
Naipenda sana Yanga ila Zahera amekua kama ni tatizo pale, ni kweli katusaidia ila asitumie hicho kigezo kutuona sisi ni mabwege mtozee