Mwinyi Zahera: Sijawahi fikiria kushuka daraja

Mwinyi Zahera: Sijawahi fikiria kushuka daraja

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Papa Zahera ba mutu ba Kongo kocha wa timu ya Polisi baada ya jana kumalizika kwa gemu dhidi ya Dodoma jiji na kupoteza 2-1 akihojiwa na mtangazaji wa Azam ‘Papaa vipi huogopi kushuka daraja Papaa alijibu sijawahi fikiria hiyo kauli hata siku moja ya kushuka daraja’.

Wakati akijibu swali hilo kumbuka kabisa timu yake ipo Mkiani akiwa na Pointi 19 jee paaa haoni hiyo hatari au kaamua kuchangamsha kijiwe tu.

Hawa makocha bana ukiwakuta wanaiongelea Yanga ni kuiponda tu nashukuru naye kwa sasa anamwaga porojo zake huku akiwa anafundisha na kujiona utamu wa ngoma, mpira sio kelele mitandaoni au kwenye vyombo vya habari ball ni uwanjani.

Pole sana Papaa angalia usiingie kwenye historia ya kushusha timu daraja wewe huku Congo ni ba mutu bakubwa sana upo kundi moja na Ibenge, Mihayo Kazembe, Shungu hata Bonganya.

All the best Papaa Zahera
 
Back
Top Bottom