Mwinyi Zahera: Wanachama wanaweza kuiendesha timu ya Yanga

Mwinyi Zahera: Wanachama wanaweza kuiendesha timu ya Yanga

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Mi napenda kuwaambia watu wa Yanga, timu hii tunaweza iendesha sisi wenyewe. . kule ulaya, mfano mashabiki wa Barcelona kutoka maeneo mbalimbaliwa wao wanahakikisha wanatia kitu katika mfuko wa timu yao.

Tunaweza jipatia miezi miwili kuwa tufanye namna moja ya kujenga timu yetu sisi wenyewe. . tupo karibia watu milioni 15 Tanzania Nzima tunaoipenda Yanga , na kuna majamaa ndani ya familia, baba, mama na watoto wote Yanga. . tukiwamata hawa wote na tukaamua tujipatie miezi miwili ya kusema kila mtu achangie kitu kidogo kwa timu yake. Eeeebwana tutakuwa na fungu kubwa sana la pesa.

Mwaka kesho Mungu akasaidia tukashiriki michuano ya kimataifa tukiwa na fungu letu wenyewe na tukachagua wachezaji wazuri aaaah tunaweza fanya mambo makubwa sana. . naomba wana Yanga wote tujitayarishe kwa hii program, tujiandae wenyewe kuiendesha timu yetu!

- Mwinyi Zahera
02 January , 2019.
FB_IMG_1546537177502.jpg
 
Mimi wa kwanza na huwa naamini kabisa kwamba hili linawezekana tena sana
Cha kwanza liwekwe duka maalumu watuuzie jezi timu ipate hela tena bei ya kawaida tu labda 20000
Kisha tupate viongozi waaminifu ili michango ikiingia ifanye kile kabisa kinachoonekana kwa kila mtu kuwa ni mafanikio yanga itaenda mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom