heshima mbele wakuu.
najua kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu, hivyo basi nahitaji kufahamu idadi ya bia tunazostahili kunywa kwa siku ili tuepekane na madhara yanayoweza kutupata.