Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601


Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya kibaguzi. Hii ni siku chache baada ya Baba yao kufariki duniani.
 
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipatana vyema na wakipendana.
Tukuina wana ndugu wakigombana, tuwapatanishe kwa upendo na kuwaombea.
Mungu awaondolee uchungu, chuki na jazba, awape amani, upendo na roho ya kuvumiliana.
 
yani jamaa uhandsome wote chaliii now analeta ugomv na ndugu..
 
Mwambieni Ray C akamchulie dhamana.
 
ndio maana kipindi cha boys to boys kimechukuliwa na daniel kijo du pole yake
 
Kumbe h


Kumbe huyo mdogo wake mwisho aliemshtaki anaitwa Robert?huku mwenge tumemzoea kwa jina la Abdul na jamaa ni mkorofi sana huyo
mkewe ni yule anaduka la vyombo pale mwenge au?
 
Kutoka BBA na kuwa maarufu Africa nzima mpaka kizimbani kwa kesi ya kugombania urithi kweli nimeamini umaarufu ni zigo la mavi .habari zaidi ingia kwa Shekidele.com a.k.a mkude simba.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…