Mkuu, kuna ile nyingine BBA iliyokuwa na washiriki waliowahi kushiriki zamaniHakuwahi kushinda hela BBA alikuwa mshindi wa pili pesa hutolewa kwa mshindi wa kwanza
Na hiyo hakushinda pia alikuwa wa pili wa kwanza alikuwa Uti wa Nigeria Mwisho alikuwa wa pili tenaMkuu, kuna ile nyingine BBA iliyokuwa na washiriki waliowahi kushiriki zamani
wa nchi gani wewe unaeuliza? ulizaliwa mwaka 2012 ama?
CC DIAMONDWanagombea urithi baada ya Mzee kufariki nini?...yale mahela hakufanya cha maana,cha kurithi ndo kitakutoa?..pumbavu.
Nilijua tu unataka kutudanganya kwamba ukiwa mshindi wa pili au wa tatu kwenye Bigbrother Africa unapata mtonyo wa maana....kwa taarifa yako alipata kapesa ka kubadilishia mboga....wa nchi gani wewe unaeuliza? ulizaliwa mwaka 2012 ama?
Acha ukambuga.....Unaweza ukawa mrefu na usione juu mimi ni rijali Nadindisha zaidi ya baba yako mzazi....Na ukiendelea nitakuingilia kinyume na ......... ndotoni. KENGEwewe ulijuaje awe wewe nyumba ndogo ya mwisho
Na kule Namibia ndio vipi tena wamesha fungiana ubalozi?Mwisho habebeki
Ficha ujinga wako. Mwisho hajawahi shinda 100m. Ni Richard ndiye alishinda 100m za BBA. Kiufupi huu uzi una wajinga wengi kama 90% ya wachangiaji.Milioni 100 kwa miaka ile (na hata sasa) unaona si kitu cha kutokea maisha? Acha kumkufuru Mungu!
Sanaaa! Kipindi alikua anakaa tegeta, alikua Na Jeep fupi hivi! Ila mtu poa, ukimzingua anakuzingua haswa!Kumbe huyo mdogo wake mwisho aliemshtaki anaitwa Robert? Huku Mwenge tumemzoea kwa jina la Abdul na jamaa ni mkorofi sana huyo..
Unachanganyaa madawaaaa..mwishoo hajawai pata Pesa alikuwa Ni cherise mzambiaa hata aliporudia akishika Wa ngapi sijuii....Yaani Big brother Ni the Winner gets all!!and the looser analooae kweliiii ilikuwaa kuuza face tuuuuMilioni 100 kwa miaka ile (na hata sasa) unaona si kitu cha kutokea maisha? Acha kumkufuru Mungu!