Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

Ficha ujinga wako. Mwisho hajawahi shinda 100m. Ni Richard ndiye alishinda 100m za BBA. Kiufupi huu uzi una wajinga wengi kama 90% ya wachangiaji.

Wewe ndie Mjinga! Mwisho Mwampamba alikuwa Mshindi wa Pili nyuma ya Mganda Gaetano akala Mzigo huo na tuliokuwa tunakimbiza Mjini miaka hiyo tukampisha kwa muda ale Ray C kama Idrissa anavokula Wema pesa zilivoisha akarudi Moro kama atavorudi Idrissa kwao Arusha akiacha Born town mdogo mdogo wanakula vyao!
 
Kabadilika kweli,mashavu yamekonda kweli
 
Dadadadadeeeekiiii
 
Ooho makimugani yuko south Africa na nyumba Bomba
 
Alikua handsome huyuu ajipange tu
 
Sibishani nawe maana hujui unabisha bila sababu. Nenda kafuatilie halafu uje hapa na habari za uhakika sio za kuhadithiwa hapo mtaani kwenu.
 
Sibishani nawe maana hujui unabisha bila sababu. Nenda kafuatilie halafu uje hapa na habari za uhakika sio za kuhadithiwa hapo mtaani kwenu.

Wewe ndio uje utuambie Gaetano Mganda alieshika namba moja mshindi namba mbili alikuwa nani?
Umaarufu wa Mwisho ndio ulipoanzia usione aibu kukiri kutokujua au kusahau ni sehemu ya Uungwana ile unayodhani hakushinda ilikuwa ni shindano special lililokusanya Washindi watupu na ndipo M Nigeria alishinda kwa nn hutaki kujiuliza kama hakuwa Mshindi wa pili ilikuaje aliitwa tena kushiriki shindano la washindi watupu?
 
Hakushinda, hawakuwa na zawadi ya mshindi wa 2. Alipataga tuu vitender vya modeling na promotion SA basi, hakuwa na Mil 100/wala nn, sana sana wamama ndio walikuwa wanamuweka ndani
 
Mh! Ama kweli ukitaka kuwajua marafiki zako na maadui zako filisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…