Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?

kweli aling'aa sana big brother ila akawa mshindi wa pili...kamwe hawezi kuwa wa kwanza maishani mwake ukizingatia anaitwa mwisho jina linaumba
 
Huyu hawezi kuwa ndugu wa Mwisho Mwampamba hadi dunia iishe!. Na hana undugu na mtu yeyote zaidi ya kutafuta fursa tu!.
Huyo jamaa ni ndugu usiongee usilolijua na yy na mkewe wana duka la vyombo used pale Mwenge magengeni,wamemsitiri sana huyo Mwisho na Njaa zake alikua anashinda hapo Mara nyingi,rangi isikuchanganye Baba yake Mwisho ni msafwa mweusi kama huyo Abdul aka Robert
 


Uko sahihi kabisa kiongozi kwa mantiki hiyo. Ila nasikitika tu hujanielewa. Mchana mwema.
 
lakini alikula bata sana na ray c, hata kama amefilisika historia anayo
 

Jamaa hajui afu anajifanya mbishi tatizo kaanza kumjua kwenye Alll Star usibishane nae mwache.
 
Gaetano hakuwahi kushinda big brother. Lileshindano aliloshiriki mwisho Mara ya kwanza alishinda mwanamke kutoka zimbabwe
 
Wanagombea urithi baada ya Mzee kufariki nini?...yale mahela hakufanya cha maana,cha kurithi ndo kitakutoa?..
Pesa unazozipata kwa kuuza utu wako kisa Big brother Africa unafikiri mungu anazibariki!?
 
Huyu Jamaa nilikuwaga najua yupo Namibia..Anaishi bongo now?
Ni kweli alikua namibia mara mwisho mwaka jana mwezi wa tatu alionekana mbeya akishuka kwenye basi from dar akidai anaelekea namibia kwa mkewe. Akaulizwa swali la kizushi kwann akaishi kwa mkewe namibia kwanini mke asije kuishi hapa tz? Akajibu kwa kuuliza kwanini yeye asiende kuishi namibia? Akajibiwa kuwa kutokana na jamii yake ni ya ki partiliner society yaani mwanamke anahama kwao anakuja kwa mwaname. Baada ya kuulizwa hivo akakasirika hakuweza kujibu tena. Wana jf maisha yanabadilika sana, posibility za maisha kukuendea kombo hapo mbeleni ni kubwa kuliko maisha kuwa mazuri mbeleni
 
Yesu kristu, Bwana tuepushie mbali hata mabalaa, loooh
 
Wanaume wa Dar utawajua tu!
Kesi ifanyikie Moro mabishano yapambe dar!
Nashangaa sana mnaomcheka mwisho hapa mtandaoni badala ya kujiuliza we kesho yako umeiandaa vipi! Au kisa mwisho maarufu?
Usipojipanga kuchalala kupo pale pale.
 
Wanaume wa Dar utawajua tu!
Kesi ifanyikie Moro mabishano yapambe dar!
Nashangaa sana mnaomcheka mwisho hapa mtandaoni badala ya kujiuliza we kesho yako umeiandaa vipi! Au kisa mwisho maarufu?
Usipojipanga kuchalala kupo pale pale.
Watu hujifunza kupitia watu. Hmna mtu aliyesimama bila kujifunza kutoka kwa wengine akawa perfect. Ni vizuri kujua watu wanaishije na changamoto wanazopitia ili uweze kujifunza yake mazuri waliyofanya uyachukue na yale mabaya uangalie namna ya kuyaepuka. Jioni njema
 
Ni kweli ila sidhani kama Mwisho alishawahi kuelezea ni changamoto zipi alipitia katika harakati gani za kiutafutaji!
All in all lazima ukomae ndo maisha yatabadilika!
So tukaze buti as long as tunapumua!
 
Milioni 100 kwa miaka ile (na hata sasa) unaona si kitu cha kutokea maisha? Acha kumkufuru Mungu!

Labda mimi ndiye sijui kitu hapa..

Ila ninachojua ni kwamba, Mwisho Mwapamba kashiriki BBA mara mbili. Mara ya kwanza alishika nafasi ya pili nyuma ya yule dada Mzambia ambapo mshindi alichukua Dola laki moja ambapo ilisemekana kwamba mshindi wa pili anapata nusu yake lakini BBA walikataa hivyo Mwisho akarudi mikono mitupu.

Kama kuna hela alitengeneza basi ni kushiriki kwenye muvi moja iliyotengenezwa huko Nigeria na kuwepo kwenye wimbo wa RayC.

Mara ya pili alishika nafasi ya nne pia akatoka mikono mitupu akimuachia rafiki yake Uti akiondoka na dola laki mbili. BBA misimu yote hutoa zawadi kwa mshindi wakwanza tu. Wengine wanapewa mkono wa asante kwa kushiriki. Kwahiyo kusema Mwisho alipata pesa yoyote toka South ni uongo.!

Washiriki wa Tanzania waliopata pesa toka South ndani ya jumba la Maraha BBA ni Richards na huyu Mume wa Mama Ubaya pekee.

BACK TANGANYIKA
 
kwanza huyo mwisho ni wa ngap kwao, kama ni wakwanza na baba ake alimpa mamlaka then anahaki ya kuhtaji ukuu katka hlo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…