monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
HahhahahhahhahahhaWatanzania bana....! Huwa wanaanza hivi hivi.... Page zikisogeasogea wanafunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahha huyu jamaa jamaniNa mwengine ni jumanne Iddi nae alivuma sana sijui yup wapi?.
TV 1Anatangaza TV flan alikuwamo na mheshimiwa DC Jokate kwani hamumuoni kwenye ile channel yao? Yupo Dar kajaa tele
Huko huko moro walikuwa wanagombea mali za urithi na ndugu yakeKwa Mara ya mwisho nilisikia Mwisho Mwampamba (Mr.Morogoro) anamiliki kampuni ya utalii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukute aliyeleta huu Uzi anajua ishu zake zote....ni ile basi tuuWatanzania bana....! Huwa wanaanza hivi hivi.... Page zikisogeasogea wanafunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nilishawahi mwona kwenye kichannel fulani cha TV cha Dar kitu kama TV 1 sikumbuki vyema alikuwa anawainterview akina AYAnatangaza TV flan alikuwamo na mheshimiwa DC Jokate kwani hamumuoni kwenye ile channel yao? Yupo Dar kajaa tele
Niko hapa naisikiliza Mc MugaNafahamu kwao ni Morogoro pale Forest.
Nadhani huyu ndio Mack Muga ambaye Ali Kiba alimuimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui lolote nilikuwa nauliza tu. Unajua nilimkumbuka tu maana alikuwa star sana miaka ile.Hata ukute aliyeleta huu Uzi anajua ishu zake zote....ni ile basi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Twaonaje king'amuzi cha Azam majanga tupuAnatangaza TV flan alikuwamo na mheshimiwa DC Jokate kwani hamumuoni kwenye ile channel yao? Yupo Dar kajaa tele
mc muga wa kweli yupo,ali kiba alizidisha tu chumvi..jamaa akawa anasikitika tu akisema "watoto bna".. miaka ya 2010 alianza certificate cbe