Kwa Wana JF Wote:
Mnaobakia nyumbani, pumzikeni salama.
Mnaoenda kusali, ombeni pamoja na mengine, Mapenzi na Amani,
mjiombee nyinyi na wapenzi wenu,
muwaombee wagonjwa, masikini. Watanzania wote.
Mnaoenda kazini, "kazi ndio Uhai".
Mnaoenda kondeni, msijichoshe sana.
Mnaoenda kutembelea jamaa na marafiki, ni wajibu kwenu.
Mnaosafiri barabarani, "Endesha Pole Pole".
Ah! Mnaoenda kuvinjari, ado ado.
"Whatever you do, wherever you go,
Nyote ninawatakieni "Weekend" Njema".