Mwisho tutabakia na Waziri wa Daladala kwa sababu ndio tunazimudu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sasa tuna Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

Huko Mbele tusichoweza kukodisha ni Daladala tuπŸ˜€πŸ˜€

So tutabaki na Waziri wa Daladala

Kamati ya Bunge ya Miundombinu itakuwa inakwenda kukagua Daladala na Bajaji za J J Mnyika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mila jambo la muda mrefu huangaliwa Kuanzia mwisho wake siyo mwanzo wake

Nawatakia Dominica Njema!
 
Jo jiandae kupata wizara ya kusimamia bajaji zako pia, na bodaboda ilizonunua kwa mafao yako.Tena habari ile ya kuingia mikataba ya mwaka na bodaboda na huku wakikudhulumu itaisha.Utaweza hata unaunganishwa kwa way Ukraine wakati huo kwa msaada wa wizara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unapigiwa Simu na Katibu wa Bunge Kamati inakuja kukagua Mradi wako wa Bodaboda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huoni kama miradi wako utaendeshwa kisasa,ikionekana haufanyi vizuri unatafutiwa mwekezaji.
 
Sisi watanzania tuangaliao manufaa yetu pekee πŸ€”au Wengine..
 
Hivi hakuna uwezekano wa kuwapa dubai hii nchi?
Kama waliweza kugeuza jangwa kuwa vile, si watageuza Tanzania kuwa marekani na kila mtu ataneemeka?
Kwanini tusiibinafsishe serikali kwa dubai?
 
Back
Top Bottom