johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jo jiandae kupata wizara ya kusimamia bajaji zako pia, na bodaboda ilizonunua kwa mafao yako.Tena habari ile ya kuingia mikataba ya mwaka na bodaboda na huku wakikudhulumu itaisha.Utaweza hata unaunganishwa kwa way Ukraine wakati huo kwa msaada wa wizara πππSasa tuna Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi
Huko Mbele tusichoweza kukodisha ni Daladala tuππ
So tutabaki na Waziri wa Daladala
Kamati ya Bunge ya Miundombinu itakuwa inakwenda kukagua Daladala na Bajaji za J J Mnyika ππππ
Mila jambo la muda mrefu huangaliwa Kuanzia mwisho wake siyo mwanzo wake
Nawatakia Dominica Njema!
Unapigiwa Simu na Katibu wa Bunge Kamati inakuja kukagua Mradi wako wa Bodaboda ππππJo jiandae kupata wizara ya kusimamia bajaji zako pia, na bodaboda ilizonunua kwa mafao yako.Tena habari ile ya kuingia mikataba ya mwaka na bodaboda na huku wakikudhulumu itaisha.Utaweza hata unaunganishwa kwa way Ukraine wakati huo kwa msaada wa wizara πππ
Huoni kama miradi wako utaendeshwa kisasa,ikionekana haufanyi vizuri unatafutiwa mwekezaji.Unapigiwa Simu na Katibu wa Bunge Kamati inakuja kukagua Mradi wako wa Bodaboda ππππ
Ni jambo jema!Huoni kama miradi wako utaendeshwa kisasa,ikionekana haufanyi vizuri unatafutiwa mwekezaji.