Kwa wale wapenzi wa Jack Bauer...mkali wa ngumi za hatari ndani tamthilia maarufu duniani ya 24...leo usiku mtapewa masaa 2 kushuhudia mwisho wa tamthilia hiyo iliyochezwa kwa miaka 9 ikiwa imeanza rasmi November 6, 2001.
Hii ngoma na interview za jack na chloe nimeziibua huku....