Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Naaam, hakuna marefu yasiyo na nchaHakuna marefu yasiyo na ncha
Kwani isitokee na Dunia inazunguka, Dunia ingekuwa haijizungushi kwenye mhimili wake tungesema sawa...fyaman llahHizi hoja Pascal Mayalla na Lucas Mwashambwa watakuambia over their dead bodies haliwezekani kutokea.
Naaam, hakuna marefu yasiyo na ncha
CCM haina mwisho bali ina Mwanzo tu wa kuzaliwa kwakeHizi hoja Pascal Mayalla na Lucas Mwashambwa watakuambia over their dead bodies haliwezekani kutokea.
Hakika mkuuNaaam, hakuna marefu yasiyo na ncha
Tuombe uhaiCCM haina mwisho bali ina Mwanzo tu wa kuzaliwa kwake
.
CCM ipo jana na itakuwepo leo,kesho na hata Milele
Tujifunze kupitia nyakati tofauti zilizopita, walikuwepo watu wenye nguvu sana hapo zamani lakini mwisho wao ulikuwa ni mbaya sana
Wapo waliojifanya Wana nguvu na wengine madikteta uchwara lakini vifo vyao vilikuwa vya kinyonge sana....ccm ichakachue inavyoweza, iwanunue chadema inavyoweza Lakini mwisho wa ccm upo na utakuwa ni mbaya sana.
Mwisho wa ubaya ni aibu, na hakuna marefu yasiokuwa na ncha..