Tena kuiweka hapa wamekupendelea, niliona picha hiyo kwenye blog moja ya nyepesi nyepesi na jokes...tehe tehe jamani Mods mnanivunja mbavu.....hii ni enternment?...anyway popote itakapokuwa.....
tehe tehe jamani Mods mnanivunja mbavu.....hii ni enternment?...anyway popote itakapokuwa.....
wanaJF tukio hili linaashiria nini?.....hii ni taswira ya macho angani......Taswira hii ilinaswa magharibi mwa Ukraine wakati wa kiangazi uliopita ambapo kulikuwa na mvua kubwa na radi zilizosababisha mafuriko yasiyo ya kawaida nchini humo(from michuzi blog).
Also watch this video from youtube....
[media]http://www.youtube.com/watch?v=M6Y-NjLN3nY[/media]
Bwana Yesu apewe sifa....halafu wewe mwehu sana, kwanini sasa ume rename hiyo jpeg yako 'tusali'?? 😀
Bwana Yesu apewe sifa...
Khabari kubwa hii, lakini si unajuwa kabla ya huo mwisho lazima Yesu abebe wafuasi wake.
Tusome Biblia kwa ufunuo zaidi.
MWISHO WA DUNIA?
Bwana Yesu apewe sifa..
mkuu acha tu nimelala natafakari sijui itakuwaje mwisho wa dunia.....yaani kila mtu itakuwa siku ya kusaga meno...imagine pembeni yako Mkapa,shehe mtopea,papa benedikti,obama woote wanalia kwa kuogopa moto......
Bwana Yesu apewe sifa...
mkuu kama unajua kutafsiri ufunuo naomba utufunulie nasi tupate upako na uelewa na neno.....
Umejiandaa na mwisho wa dunia mkuu?