Mwisho wa 'external' ni upi / wapi katika mwili?

Mwisho wa 'external' ni upi / wapi katika mwili?

Desteo

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
494
Reaction score
123
Nauliza hili kwa kuwa katika mafuta mengi ya kujipaka huwa yameandikwa, pamoja na mambo mengine, 'for external use only'. Sasa utakuta sisi watu huwa tunachukua mafuta hayo, mathalan rays, baby care, na mengine ya maji na kuyatumia wakati wa 'tendo' kama vilainishi.

Sasa kule si internal? Tuambiwe madhara yake ni nini ili tuwe na taarifa sahihi tafadhali..
 
Nauiza hihi kwa kuwa katika mafuta mengi ya kujipaka huwa yameandikwa, pamoja na mambo mengine, 'for external use only'. sasa utakuta sisi watu huwa tunachukua mafuta hayo, mathalan rays, baby care, na mengine ya maji na kuyatumia wakati wa 'tendo' kama vilainishi. Sasa kule si internal? Tuambiwe madhara yake ni nini ili tuwe na taarifa sahihi tafadhali

Wewe unashiriki mapenzi ya jinsia moja?
 
kwa kuwa tarari unajua kule ni INTERNAL basi usije uka-misuse
 
Ila sijawahi kusikia mwanamke akilalama kuwa mafuta yamemuathiri
 
Back
Top Bottom