Nauiza hihi kwa kuwa katika mafuta mengi ya kujipaka huwa yameandikwa, pamoja na mambo mengine, 'for external use only'. sasa utakuta sisi watu huwa tunachukua mafuta hayo, mathalan rays, baby care, na mengine ya maji na kuyatumia wakati wa 'tendo' kama vilainishi. Sasa kule si internal? Tuambiwe madhara yake ni nini ili tuwe na taarifa sahihi tafadhali
External mwisho 2tb navyojua mimi