Mwisho wa kudu na mke mjamzito ni lini

Mwisho wa kudu na mke mjamzito ni lini

Mongoiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
524
Reaction score
269
Ninaomba kuuliza, ikiwa mkeo anamimba, je ni kosa kuendelea kusex naye?
Kama siyo kosa je mimba ikifikia miezi mingapi anapaswa kuacha kusex? Nisaidieni jamani.
 
Ninaomba kuuliza, ikiwa mkeo anamimba, je ni kosa kuendelea kusex naye?
Kama siyo kosa je mimba ikifikia miezi mingapi anapaswa kuacha kusex? Nisaidieni jamani.

wewe endelea mpaka apate uchungu wa kujifungua hakuna shida yoyote
 
Ushauri mwingine bwana! mimi nakushauri nenda naye Clinic na ukazungumze na Daktari utapata ushauri mzuri
 
Niliwahi kumuuliza dr mmoja wa aga khan alisema unaweza kufanya tendo la ndoa hadi siku atapojiskia uchungu. Ila mara nyingi wanaambiwa mwisho miezi 7 tu, baada yapo wanakataza kwasababu kuna uwezekano simu mama anapokwenda kujifungua wakakuta njia ya uzazi haiko katika usafi.
 
Back
Top Bottom