Niliwahi kumuuliza dr mmoja wa aga khan alisema unaweza kufanya tendo la ndoa hadi siku atapojiskia uchungu. Ila mara nyingi wanaambiwa mwisho miezi 7 tu, baada yapo wanakataza kwasababu kuna uwezekano simu mama anapokwenda kujifungua wakakuta njia ya uzazi haiko katika usafi.