hapa kati kati watasitisha kutuma maombi mpaka yatoke matokeo ya 4m 6 au itaendelea moja kwa moja mpaka hyo mwezi wa 8?
naomba kujua juu ya tcu guidebook 2014/2015 inapatikana?
Vipi mdau kwa mwaka huu mkopo wanafungua kuanzia lini?
ni juni 30. Wameanza tangu april24. Mimi nipo nafanya kazi loan board.