kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Kama Mtu Anayo Namba Anaingia Kwenye Tovuti yao Anajaza form Upya Kama Mtu ambaye hana Tofautii Ipo sehemu ya kujaza Taarifa za Zamanii za Passport(Namba ya Passport, Sehemu ilipotolewa na Mwaka) huko Online utalipia 20K kwaajili ya hiyo form Kama Ada ya awaliTunge pata muhusika uhamiaji atupe abcd ya nn kinafanyika kama m2 ana kitambulisho cha taifa nida ikiwa ange hitaji passport ila haya mambo bhana dah!
20k means 20000 or 200000!!? Gharama ya hili zoezi zima mpaka unapata passport inachukua kiasi ganiKama Mtu Anayo Namba Anaingia Kwenye Tovuti yao Anajaza form Upya Kama Mtu ambaye hana Tofautii Ipo sehemu ya kujaza Taarifa za Zamanii za Passport(Namba ya Passport, Sehemu ilipotolewa na Mwaka) huko Online utalipia 20K kwaajili ya hiyo form Kama Ada ya awali
Viambata Ni Muhimuu mfano Barua ya Mtendaji cheti/Affidavit n.k ukishawapelekea Utafanya malipo130K Na Kusubirii Sasa Passport Mpya Ya kielektroniki
Na nimesikia wanahitaji na vyeti pia vya shule original km cha form 4 na six kama sikusoma kuna ulazima gani?Gharama ya passport ni Tshs 150,000, kuna sehemu kwenye form yakuombea passport lazima a sign wakili hapa unalipigia kati ya 10,000 hadi 20,000
Kuna kutengeneza affidavit ya mzazi,kama alishafariki, hapa napo sio chini ya 20,000 kulipa kwa wakili... So gharama nzima hadi kupata passport andaa Tshs 200,000/=
Hapa hujaweka gharama zako binafisi,chakula,maji, maana ukienda pale unakata siku nzima (usafiri public au private),
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nina passport ya zamani nipo nje ya nchi, pindi nitakapotaka kurudi Tz itakuwaje? Nitarudishwa nilikotoka au? Ufafanuzi kidogo katika hili.
Ni sawa, swali langu ni kwamba kama sitobadilisha nikaamua kuitumia hii ya zamani ninaweza kutoruhusiwa kusafiri kwenda Tz?Passport unaweza kubadilisha hata ukiwa nje ya nchi. Nenda ubalozi wa Tanzania kwenye hiyo nchi au kama hiyo nchi hakuna ubalozi wa TZ tafuta ubalozi iliyo karibu
Sent using Jamii Forums mobile app