Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Benki Kuu ichapishe sarafu zenye kumbu kumbu ya nchi. Sarafu za dhahabu ziuzwe kwa bei ya sokoni.
Matukio kama kuapishwa kwa rais, mlima Kilimanjaro, wanyama wetu nk.
Zichapishwe kwa idadi maalum na ziuzwe si chini ya Tsh. 100,000. Kuna collectors wengi wanapenda kuhifadhi vitu na wengine tutaweka kama akiba tukiishiwa hela ya chumvi tutauza kwa sonara.
Ni wazo tu.