Ibaki kama kumbukumbu ya taifwaa900 inapendeza
Umeelewa au 'Upinzani' umetamalaki kwenye ubongo wako kwa 100%. Ameshauri iwe kama moja ya mapato kwa serikali.Wapinzani wamechakaa kuanzia mwonekano hadi mawazo
Sasa umeandika upupu gani huu? Hamchoki kubweka
Benki Kuu ichapishe sarafu zenye kumbu kumbu ya nchi. Sarafu za dhahabu ziuzwe kwa bei ya sokoni.
Matukio kama kuapishwa kwa rais, mlima Kilimanjaro, wanyama wetu nk.
Zichapishwe kwa idadi maalum na ziuzwe si chini ya Tsh. 100,000. Kuna collectors wengi wanapenda kuhifadhi vitu na wengine tutaweka kama akiba tukiishiwa hela ya chumvi tutauza kwa sonara.
Ni wazo tu.
Naomba nkulize swali ila ntatoka nje ya madaBenki Kuu ichapishe sarafu zenye kumbu kumbu ya nchi. Sarafu za dhahabu ziuzwe kwa bei ya sokoni.
Matukio kama kuapishwa kwa rais, mlima Kilimanjaro, wanyama wetu nk.
Zichapishwe kwa idadi maalum na ziuzwe si chini ya Tsh. 100,000. Kuna collectors wengi wanapenda kuhifadhi vitu na wengine tutaweka kama akiba tukiishiwa hela ya chumvi tutauza kwa sonara.
Ni wazo tu.
Numismatic coins. Babu yangu Aspirin kumbe ana kichwa nyumbani!!Benki Kuu ichapishe sarafu zenye kumbu kumbu ya nchi. Sarafu za dhahabu ziuzwe kwa bei ya sokoni.
Matukio kama kuapishwa kwa rais, mlima Kilimanjaro, wanyama wetu nk.
Zichapishwe kwa idadi maalum na ziuzwe si chini ya Tsh. 100,000. Kuna collectors wengi wanapenda kuhifadhi vitu na wengine tutaweka kama akiba tukiishiwa hela ya chumvi tutauza kwa sonara.
Ni wazo tu.
Nlijua wanauziuzaFor fun unakumbuka 1947 WWII ilikuwa inaishia
Aibu kubwa Sana tuna dhahabu tele lakini hatuna reserve ya dhahabu Central BankBenki Kuu ichapishe sarafu zenye kumbu kumbu ya nchi. Sarafu za dhahabu ziuzwe kwa bei ya sokoni.