PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Wana JF wenzangu kilele cha kampeni kina hitimishwa kesho na siku ya kukata maneno ni Juma 5. Kama ulipanda viazi usitarajie kuna Choroko. Hii iwafikie wabunge WOTE na madiwani pamoja na Urais.
Wajumbe tupo tayari tumesha vitayarisha vikatio vyetu. Tutachagua Maendeleo na sio porojo na hadithi za Alfu lela ulela. Kwamba tukikuchagua tutalalatu na kukuta minoti mifukoni. Tuta chagua mutu ya kazi na sio Dalali wa mabeberu.
Tuta chagua Sera na sio komedi. Hatuta kubali kuwachagua watu waliokua wametuaminisha kwamba nchi hii imechezewa sana. Na sasa wamekua watetezi wa mafisadi na wala rushwa.
Hatuta kubali kuwachagua watu Ambao wanadai hakuna Uhuru wakati upo ila wao wanataka Uhuru wa kutukana wengine na kuwazushia mambo ya uongo.
Nchi inapaa wazee hakuna longo longo chuma chetu kitapeta tena Asubui Asubui maana kazi tunaiona.