Unataka kutuambia Yanga ni kama IHEFU?Yanga wana kikosi bora kuliko timu yoyote duniani ndiyo ma
Klabu bingwa si mchezo, kucheza na Ihefu ni tofauti na kucheza na MamelodyYanga wana kikosi bora kuliko timu yoyote duniani ndiyo maaana hawajapoteza mechi hata moja kwenye ligi. Yanga ni timu kubwa sana ina wachezaji wazoefu kama diksoni jobu, kibwana shomari, shua boi, jigi diara, mayele na mwamnyeto. YANGA HAIHITAJI KABISA KUONGEZA WACHEZAJI NA CHINI YA GSM NA INJINIA HERSI BILA KUMSAHAU MANARA, YANGA WATATWAA UBINGWA WA AFRICA. Fei toto ni mchezaji mkubwa sana bila kuwasahau jezuu moloko, juma shabami, heritia makambo, bangala, yasini mustafa na morisoni anaongezeka... Hakika yanga wana kikosi kipana sana.
Ngoja waje wenye Yanga yao wakushukie kama mwewe [emoji3]Yanga wana kikosi bora kuliko timu yoyote duniani ndiyo maaana hawajapoteza mechi hata moja kwenye ligi. Yanga ni timu kubwa sana ina wachezaji wazoefu kama diksoni jobu, kibwana shomari, shua boi, jigi diara, mayele na mwamnyeto. YANGA HAIHITAJI KABISA KUONGEZA WACHEZAJI NA CHINI YA GSM NA INJINIA HERSI BILA KUMSAHAU MANARA, YANGA WATATWAA UBINGWA WA AFRICA. Fei toto ni mchezaji mkubwa sana bila kuwasahau jezuu moloko, juma shabami, heritia makambo, bangala, yasini mustafa na morisoni anaongezeka... Hakika yanga wana kikosi kipana sana.
Mimi naona ungeishauri timu yako ambayo mpaka sasa haina kocha mkuu! Achilia mbali uwepo wa idadi kubwa ya wachezaji wazee na walio jichokea ukilinganisha na Yanga.Ivi huu mda mbona mchache Sana tarehe 30 si mbali vilabu vyetu vitaweza kwenda na muda kweli hususani yanga isije tokea kama mwaka jana Simba nazani tupo makini na Mambo ya caf sababu tushazoe tff waangalie latiba yao upya ikiwezekana ligi iishe tarehe 20 mwezi huu siku kumi ziwe za pilikapilika kwenye usajili
Kutoa ushauri kwa UTOPOLO, ni kujichosha tu! Wenye akili, hata hao wawili, kupewa heshima hiyo, walionewa aibu tu!Mimi naona ungeishauri timu yako ambayo mpaka sasa haina kocha mkuu! Achilia mbali uwepo wa idadi kubwa ya wachezaji wazee na walio jichokea ukilinganisha na Yanga.
Mambo ya Yanga waachie Yanga wenyewe.
Tuliza mku uYanga wana kikosi bora kuliko timu yoyote duniani ndiyo maaana hawajapoteza mechi hata moja kwenye ligi. Yanga ni timu kubwa sana ina wachezaji wazoefu kama diksoni jobu, kibwana shomari, shua boi, jigi diara, mayele na mwamnyeto. YANGA HAIHITAJI KABISA KUONGEZA WACHEZAJI NA CHINI YA GSM NA INJINIA HERSI BILA KUMSAHAU MANARA, YANGA WATATWAA UBINGWA WA AFRICA. Fei toto ni mchezaji mkubwa sana bila kuwasahau jezuu moloko, juma shabami, heritia makambo, bangala, yasini mustafa na morisoni anaongezeka... Hakika yanga wana kikosi kipana sana.
Naunga mkono hojaYANGA HAIHITAJI KABISA KUONGEZA WACHEZAJI NA CHINI YA GSM NA INJINIA HERSI BILA KUMSAHAU MANARA, YANGA WATATWAA UBINGWA WA AFRICA.
Unapata wapi ujasiri wa kuishauri timu ambayo inakaribia kumaliza msimu wa ligi huku ikiwa ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kupoteza hata mchezo mmoja! Timu ambayo ni bingwa wa ngao ya Jamii msimu huu!Kutoa ushauri kwa UTOPOLO, ni kujichosha tu! Wenye akili, hata hao wawili, kupewa heshima hiyo, walionewa aibu tu!
Razima watu wapate ujasiri wa kuishauri kupunguza makosa yanayoigharimu katika mechi za kimataifa Maana utopolo ndiyo timu pekee iliyopigwa nje ndani kwa timu za Tz katika mashindano ya CAF .Unapata wapi ujasiri wa kuishauri timu ambayo inakaribia kumaliza msimu wa ligi huku ikiwa ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kupoteza hata mchezo mmoja! Timu ambayo ni bingwa wa ngao ya Jamii msimu huu!
Timu ambayo ina uhakika wa 99% wa kuchukua ubingwa ligi kuu msimu huu! Timu yenye 80% ya kuchukua ubingwa wa kombe la Shirikisho! Timu ambayo inahitaji kujazia tu nafasi chache kwa ajili ya mashindano ya Kimataifa msimu huu! Timu ambayo ina benchi la ufundi makini chini ya Profesa Nabi!
Unapata wapi ujasiri! Mimi nadhani mngebakia huko huko kwenye matatizo lukuki! Mtuachie Yanga yetu hana. Tayari uongozi na benchi la ufundi wanajua cha kufanya.
Hiyo unbeaten mnayojivunia ni ya mchongo. Dhidi ya Namungo , Ruvu ni marefa wa mchongo ndio waliwaokoa na vipigo. Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kujivunia hiyo unbeaten ya mchongo.Unapata wapi ujasiri wa kuishauri timu ambayo inakaribia kumaliza msimu wa ligi huku ikiwa ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kupoteza hata mchezo mmoja! Timu ambayo ni bingwa wa ngao ya Jamii msimu huu!
Timu ambayo ina uhakika wa 99% wa kuchukua ubingwa ligi kuu msimu huu! Timu yenye 80% ya kuchukua ubingwa wa kombe la Shirikisho! Timu ambayo inahitaji kujazia tu nafasi chache kwa ajili ya mashindano ya Kimataifa msimu huu! Timu ambayo ina benchi la ufundi makini chini ya Profesa Nabi!
Unapata wapi ujasiri! Mimi nadhani mngebakia huko huko kwenye matatizo lukuki! Mtuachie Yanga yetu hana. Tayari uongozi na benchi la ufundi wanajua cha kufanya.
Kwanini usubiri ugombelezewe na wenzako wakati na wewe mwenyewe uwezo wa kuonesha kuwa ni mbabe unao?Hiyo unbeaten mnayojivunia ni ya mchongo. Dhidi ya Namungo , Ruvu ni marefa wa mchongo ndio waliwaokoa na vipigo. Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kujivunia hiyo unbeaten ya mchongo.
Wewe ulishindwa nini kuipata ata iyo unbeaten unayosema ni ya mchongo? Kwani wewe ukucheza nazo hizo timu au ulikuwa unacheza na timu nyingine zisizoonekana kwa macho? Kuwa na heshima na ubora wa mwenzako, wivu, roho mbaya na ujuaji usiokuwa na maana ndio uliowafanya muwe na timu mbovu mpaka sasa maana mnajifanya wajuaji mnapoambiwa ukweli matokeo yake mmekosa ata kikombe cha kahawa kukibeba na mkiendelea kuwa wajuaji mtakaa miaka kibao mnawaangalia hao mnaowabeza wakinyanyua makwapaHiyo unbeaten mnayojivunia ni ya mchongo. Dhidi ya Namungo , Ruvu ni marefa wa mchongo ndio waliwaokoa na vipigo. Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kujivunia hiyo unbeaten ya mchongo.