Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wanasports salaam.
Kwa zaid ya miaka 4 TFF na Simba wamekuwa maswahiba wakubwa hali iliyopelekea minong'ono upande wa Yanga kwamba TFF Soka anaibeba Simba.
Baada ya ujio wa GSM mitaa ya Jangwana mambi mengi yamebadilika lakin bado Yanga hawajaweza kupata ubingwa mbele ya Simba.
Msimu huu baada ya GSM kusajili Wachezaji wazuri wamekaa na kugundua kwamba kikwazo pekee kilichobaki Kwa Yanga kushinda taji la ligi kuu ni uswahiba Kati ya SIMBA na TFF.
TFF Kwa kujua ama kutojua dhamira ya GSM wameingia kichwa kichwa na hapa GSM wanaelekea kufanikiwa kukiondoa kikwazo pekee kilichobaki Kwa Yanga kutwaa taji la ligi kuu.
Mwisho wa uswahiba wa Simba na TFF ndio mwanzo wa mataji ya ligi kutua Yanga.