TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Hivi ndivyo mwisho wa wanaume wengi kwenye mahusiano yao hasa wale wanaosikiliza sana machozi ya mwanamke na kuwajali zaidi kuliko kujipa wao kwanza kipaumbele.
Mwanamke ambaye hajatoka kwenye familia yako na mmekutana tu naye ukubwani siyo ndugu yako na hatofikiria mara 2 kukuchinjia baharini pale atakapojisikia kufanya hivyo.
Siku zote mwanamke anafuata zaidi hisia zake kwenye mahusiano wala hajali ni kiasi gani wewe mwanaume umejitoa na kujinyima vitu vingi kwa ajili yake.
Mwanaume kwenye mahusiano jifunze
1. Kucheza vizuri karata zako vizuri katika mapenzi. Kamwe usijinyime na kujitesa kisa mtoto wa mtu.Mpe mwanamke kile unachoweza kumpa kilicho ndani ya uwezo wako na usizidishe zaidi ya kipato chako.
Hii itakusaidia kuepuka majuto pale mahusiano yenu yanapoenda mlama.Nakukumbusha tena mwanamke ambaye hajatoka kwenye familia yako siyo ndugu yako muda wowote kinaweza kunuka ndani ya mahusiano yenu .
2. Ukihonga honga kiakili usije ukadhani ulipendwa. Mpe mwanamke wako kila kitu anachotaka, ni pesa zako sikupangii jinsi ya kutumia maana wewe ndie unajua jinsi gani unavyozitafuta.
Hila usiweke matumaini makubwa kwa mke wako au mpenzi wako kuwa hamuwezi kuachana.Hilo ni kosa kubwa utakalokuwa umelifanya kwenye mahusiano yako.
Weka tahadhari na jiandae kisaklojia muda wowote na Dunia yako isizunguke kupitia mwanamke wako au mke wako. Hii itakusaidia sana siku za mbeleni kama mahusiano yenu yakienda mlama .
Kings be wise
Stay Putinized.