Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kocha huyo mkongwe na mwenye GUNDU la kiwango cha kutisha , ametakiwa kutimuliwa na mashabiki wa timu hiyo . Hii ni baada ya kuponea tundu la sindano kwenye game dhidi ya PSG .
Shabiki mmoja aliandika kwenye ukurasa wake wa TWITTER akisema " uhamisho mzuri zaidi unaoweza kufanywa na Arsenal ni kumuondoa Wenger "
Pole Mzee Wangu , hata kama uzee ni dawa lakini dawa zingine ni chungu .