Mwisho wa Wenger umefika Rasmi , Mashabiki wataka atimuliwe haraka .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kocha huyo mkongwe na mwenye GUNDU la kiwango cha kutisha , ametakiwa kutimuliwa na mashabiki wa timu hiyo . Hii ni baada ya kuponea tundu la sindano kwenye game dhidi ya PSG .

Shabiki mmoja aliandika kwenye ukurasa wake wa TWITTER akisema " uhamisho mzuri zaidi unaoweza kufanywa na Arsenal ni kumuondoa Wenger "

Pole Mzee Wangu , hata kama uzee ni dawa lakini dawa zingine ni chungu .
 
muacheni bhana, mbna dingi yupo poa tu, tatzo anaoshindana nao ni shida.
 
Mzee hawezi toka kirahisi mana anawaingizia pesa nzuri mabosi wake
 
Wenger na mabos wa time n wafanyabiashara,wanachojal n timu kushrik mashndano na sio kushndana kupata kombe
 


Si bora arsenal? Man utd wanamtimua lini the special one?
 
Huyu the Special one kawaharibia pesa yao yote waliyokusanya kwa kununua eti "Star" Pogba. Pogba hata si bora wangenunua Samatta
Tuliuliza humu kuhusu huo ustaa wa Pogba , tuliambulia matusi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…