Mwishowe Wakenya wanyoosha mikono

Ni Dark est Sluum πŸ˜‚πŸ˜‚
uko ulipo pataja sjui nn sluum tz hakuna sehem inaitwa ivyo myb ni slum mpya apo kunyaland plz endelea kutangaza wazungu waje kushangaπŸ˜‚πŸ˜‚

bongo hatukai watu500 kwe block1 kama kunyaland mindyouπŸ€—πŸ€—
 
Dark est Sluum ndio Administrative Capital ya Tz Yani slum City.
 
Dar es Slum πŸ˜‰
usiwe mbuni kuficha kichwa mchangani wakati umebon'goa

sahihi ni DAR ES SALAAM aka bandari salama
slum city ipo 1 tu east africa nzima nayo ni.......πŸ˜†πŸ˜…
 
usiwe mbuni kuficha kichwa mchangani wakati umebon'goa

sahihi ni DAR ES SALAAM aka bandari salama
slum city ipo 1 tu east africa nzima nayo ni.......πŸ˜†πŸ˜…
Gazeti moja liliandika kwa kejeli Dark est Sluum juu ya mgao wa umeme Dar es salaam aka Dar is sluum... I am just but a messenger.
 
Gazeti moja liliandika kwa kejeli Dark est Sluum juu ya mgao wa umeme Dar es salaam aka Dar is sluum... I am just but a messenger.
bila shaka itakua magazeti from kunyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
bila shaka itakua magazeti from kunyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Ilikuwa international report on scarcity of electricity and the high presence of informal settlements in Dar is Sluum.
 
Kenya hata wakipigwa na Corona kiasi gani, hata kuwe na wagonjwa 2mil bado hatuwezi kufikia maendeleo yao ya ki uchumi
Kwa hiyo unasemaje? Orodhesha hapa hayo maendeleo ya kiuchumi
 
Kwa hiyo unasemaje? Orodhesha hapa hayo maendeleo ya kiuchumi
mkuu,mbona comment yangu inajitosheleza kabisa,nimeshasema ninachosema.kuhusu maendeleo yao ya ki uchumi mkuu mbona huitaji hata kuorodheshewa tazama hata thamani ya pesa yao
 
Somo la kuukatsa au kuwakataa mabeberu wakenya hawafundishwi mashuleni mwao
Ndio maana wanawaabudu sana na hawajui nia mbaya mbaya ya mabeberuuu
 
mkuu,mbona comment yangu inajitosheleza kabisa,nimeshasema ninachosema.kuhusu maendeleo yao ya ki uchumi mkuu mbona huitaji hata kuorodheshewa tazama hata thamani ya pesa yao
Thamani ya pesa siyo maendeleo..orodhesha hapa tangible things ..tupatie orodha hapa ya maendeleo...lakini usituletee hapa maghorofa ya Nairobi, ukifanya hivyo tuletee pia na slums za kibera..usituletee hoja ya kuzungumza English kwani hata Malawii wanazungumza vizuri English...tuletee hapa tofauti Kati ya maisha kimaendeleo Kati ya Mkenya was kawaida na Mtanzania wa Kawaida...utuambie pia if the accumulated wealth created by Kenya's companies does trickle down to alleviate poverty to normal Kenyans...usituletee hapa barabara nzuri za lami pale Nairobi...utueleze pia Kama barabara hizo ziko pia vijijini Kama Turkana na kadhalika..
 
Boss mbona ume panic hivo ? ninaelewa nilichosema ,mimi sio mdau wa ma picha hayo unayoongelea,mkuu una uhakika kwamba thamani ya pesa sio maendeleo ? .na kuhusu tangible things kweli mkuu huvifahamu viwanda vya kenya ? bidhaa nyingi tunazotumia ni made in Kenya kuanzia bidhaa za chakula mfano sausages nyingi hapa Tz zinatoka kenya licha ya kuwa na sisi tuna viwanda vya bidhaa hizi lakini ukweli ni kwamba viwanda vyetu vimeshindwa ku compete na vya wakenya. kwenye sekta hii ya viwanda bidhaa ni nyingi siwezi kukutajia hapa zote nakushauri tu usome bidhaa nyingi tunazotumia zimetengenezwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…