Mwita Mwikwabe: Nimeambukizwa covid 19 nikiwa Mwanza Tanzania

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Moja wa visa vilivyoripotiwa leo na wizara ya afya Kenya kwa SAA 24 zilizopita ambapo kwa upande wa kurya East kumeripotiwa visa viwili

Akiongea na majirani na familia yake Mwita Mwikwabe amedai alikuwa amesafiri Mwanza wiki mbili zilizopita na hivyo aliambukizwa huo ugonjwa akiwa Mwanza Tanzania

My take,:sasa watu wataogopa kuja Tanzania,maana kila maambukizi alikuwa na historia ya kusafiri Tanzania au ametokea Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akamatwe kwa uzururaji, arudishwe bungeni Dodoma kwa pingu
 
Akawaambukize wengine? Mbona kama akili zimechanganywa na mtindi wa azam au tui la nazi?
Hakuna mbunge wa CCM bungeni anayeogopa kuambukiza au kuambukizwa. Aende akachape kazi aache kuzurura, vinginevyo ataamuriwa arudishe posho aliyochukua
 
Moja wa visa vilivyoripotiwa leo na wizara ya afya Kenya kwa SAA 24 zilizopita ambapo kwa upande wa kurya East kumeripotiwa visa viwili

Akiongea na majirani na familia yake Mwita Mwikwabe amedai alikuwa amesafiri Mwanza wiki mbili zilizopita na hivyo aliambukizwa huo ugonjwa akiwa Mwanza Tanzania

My take,:sasa watu wataogopa kuja Tanzania,maana kila maambukizi alikuwa na historia ya kusafiri Tanzania au ametokea Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni huyu huyu aliyetelekeza jimbo la ukonga?!au majina yamefanana?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Hakuna mbunge wa CCM bungeni anayeogopa kuambukiza au kuambukizwa. Aende akachape kazi aache kuzurura, vinginevyo ataamuriwa arudishe posho aliyochukua
IMG-20200509-WA0004.jpg
2386150_Screenshot_2020_0501_202438.jpg
 
Moja wa visa vilivyoripotiwa leo na wizara ya afya Kenya kwa SAA 24 zilizopita ambapo kwa upande wa kurya East kumeripotiwa visa viwili

Akiongea na majirani na familia yake Mwita Mwikwabe amedai alikuwa amesafiri Mwanza wiki mbili zilizopita na hivyo aliambukizwa huo ugonjwa akiwa Mwanza Tanzania

My take,:sasa watu wataogopa kuja Tanzania,maana kila maambukizi alikuwa na historia ya kusafiri Tanzania au ametokea Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa n mzembe sana hachukui tahadhari yoyote hadi anaambukizwa
 
Back
Top Bottom