Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Muasi Mwita Mwikabwe Waitara amejiapiza kwamba ni lazima kwa gharama yoyote amtoe John Heche katika nafasi ya ubunge.
Akizungumza na washirika wake kadhaa mbunge huyo aliyepachikwa ubunge wa Ukonga amesema kiu yake ni kuhakikisha anakuwa mbunge wa Tarime mwaka 2020.
Waitara amejisifu kwamba amehakikishiwa nafasi hiyo kwanza katika kupitia CCM kutokana na kile alichosema hakutakuwa na kura ya maoni CCM bali wakubwa wamehakikisha atakuwa hana mpinzani ndani ya chama hicho.Pili, Waitara amekiri katika uchaguzi huru hawezi kumshinda John Heche lakini tayari amehakikishiwa na *mtukufu* kwamba ameshatoa maagizo jimbo la Tarime lirudi CCM 2020
Waitara huku akinywa pombe katika bar maarufu ya Vegetable iliyoko Ukonga alikuwa akiongea kwa sauti huku akisikilizwa na watu kadhaa.Aliendelea kusema vita yake na John Heche ya muda mrefu sasa imefika mwisho na hatimaye ataibuka mshindi.Alisema hawezi kuwa na amani bila kulikalia jimbo la Tarime.
Kwa sasa tangu awaasi wananchi wa Ukonga na hatimaye kupachikwa Ubunge wa Ukonga Mwita Waitara amekuwa akilindwa na kikundi cha walinzi wapatao 6 popote anapoenda.