Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge Jimboni humo kwasababu ana historia ya kumshinda kwenye chaguzi tangu wakiwa wote ndani ya chama kimoja.
Akizungumza na Jambo TV katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Waitara amesema Heche ni mwanafunzi wake kisiasa hivyo hawezi kuwa tishio kwake.
Akizungumza na Jambo TV katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Waitara amesema Heche ni mwanafunzi wake kisiasa hivyo hawezi kuwa tishio kwake.