Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ni mnywa gongo mahiri iliyopikwa na mchanyato wa mihogo hadi sura imemwagika kama analilia uji.Mwita Waitara alikua anaaminika sana kwenye siasa sijui alishika wapi akapotea mazima..
Sio kwa kuhadithiwa kwa macho yangu nilimuona Moshi Bar kalewa mpaka kujitapikia, nahisi kwa waliemuona huko alipokuwa anakwenda itakuwa walikuta hata viuharo.Ni mnywa gongo iliyopikwa na mchanyato wa mihogo hadi sura imemwagika kama analilia uji.
Anajiendekeza vitu vinavyomzidi nguvu kama zuzu.Aache ujingaujinga wake.Bloody kutapika kabisa!Sio kwa kuhadithiwa kwa macho yangu nilimuona Moshi Bar kalewa mpaka kujitapikia, nahisi kwa waliemuona huko alipokuwa anakwenda itakuwa walikuta hata viuharo.
Huu jamaa ni mlevi aliekubuhu.
Akilewa mpaka anajikojolea 😄Sio kwa kuhadithiwa kwa macho yangu nilimuona Moshi Bar kalewa mpaka kujitapikia, nahisi kwa waliemuona huko alipokuwa anakwenda itakuwa walikuta hata viuharo.
Huu jamaa ni mlevi aliekubuhu.
Daah kapotea kabisa kwenye medani za Siasa za bongo hapo anatafuta sehemu ya kushika ataipata tu.Ni mnywa gongo iliyopikwa na mchanyato wa mihogo hadi sura imemwagika kama analilia uji.
Jambo ambalo huwa hawa wahama vyama na kuhamia CCM hawalijui ni kwamba,anaowakuta huko humpokea kwa furaha na vicheko vya kinafiki lakini wanawachukia vibaya sana.Wanaona wanaenda kuchukua nafasi zao.Sasa waishi huko kwa akili nyingi sana.Daah kapotea kabisa kwenye medani za Siasa za bongo hapo anatafuta sehemu ya kushika ataipata tu.
Hawawezi kuvumilia njaa kidogo tu hao..Jambo ambalo huwa hawa wahama vyama na kuhamia CCM hawalijui ni kwamba,anaowakuta huko humpokea kwa furaha na vicheko vya kinafiki lakini wanawachukia vibaya sana.Wanaona wanaenda kuchukua nafasi zao.Sasa waishi huko kwa akili nyingi sana.
Tamaa zao za kuishi kimtelezo ndiyo malipo yake hayo.Na wawe makini.Watapigwa sumu au zengwe tu hadi wasiwepo kwenye ramani.Hawawezi kuvumilia njaa kidogo tu hao..