Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, hata Rais ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao

Mimi nachoshindwa kuelewa huko kujiridhisha kwamba chanjo ni salama ni usalama upi huo wanaoukusudia?
 
Kwa hii hoja nakuunga mkono. Mimi nimekuwa mwanachama wa CCM kwa mara ya kwanza nilipojiunga Kidato cha Kwanza Kahororo Sekondari mwaka 1990 maana nililipia na kupewa kadi ya UVCCM kipindi hicho.
 
Kwa hii hoja nakuunga mkono. Mimi nimekuwa mwanachama wa CCM kwa mara ya kwanza nilipojiunga Kidato cha Kwanza Kahororo Sekondari mwaka 1990 maana nililipia na kupewa kadi ya UVCCM kipindi hicho.
Dah mhenga mwenzangu, kizazi cha zamani wote tulikuwa CCM.
 
Tatizo hyo taasisi anayosema wakati mwingine imeshatudanganya mengi tu tokea tawala zilizopita. Kwahiyo haimaanishi basi hyo taasisi ikishasema Jambo basi na sisi tusitumie akili zetu
 
Dhana ya kwamba kuwa na mamlaka ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuhodhi fikra za kila asiye na mamlaka si sahihi.

Dunia ya sasa ina 'unlimited sources of information' kiasi kinachopanua uwanja wa fikra wa kila mwenye kupenda maarifa.

Issue ya chanjo bado ina hitaji mjadala mpana sana... Kuna hoja kibao zinazohitaji majibu na si kutumia mamlaka kubeza na kukandamiza... Toeni ufafanuzi wa kina... Kama kawaida yenu soon mtaanza kupiga rungu hoja hizi mtapoona wenye kuhoji wamewazidi kete.
 
Tatzo hyo taasisi anayosema wakati mwingine imeshatudanganya mengi tu tokea tawala zilizopita. Kwahyo haimaanishi basi hyo taasisi ikishasema Jambo basi na sisi tusitumie akili zetu
Hawaaminiki... Soon watakuja geuka wakitumia vijimaneno vya kebehi kama kawaida.
 
Sasa kwanini msijibu hoja za Gwajima badala ya kutafuta huruma? Hii chanjo si ya majaribio?
 
Nchi hii ya kijinga Sana, nilitegemea saizi Gwajima atakuwa yupo somewhere anapewa torturing , haiwezekani Hakashifu maamuzi na msimamo wa Rais
Tukishakuwa na taifa ambako kauli na nguvu za Rais hazihojiwi . Ndipo inatokea kama haya ya mwendazake . Alipotosha kuhusu ugonjwa kwa kufananisha wanaadamu na mbuzi ' kware' oil 'mipapai nk . Leo mnamsuta kuwa turudi kwenye taaluma.

Mbunge kuwa na msimamo tofauti na serikali siyo dhambi ya kumfanyia mateso au mauaji. Tuliona US
 
Alikua na cheo gani? Wakati alikua anampikia chai nchimbi ofisini.
Wa na
 
Sisi tunatakiwa kupata muongozo kwa kiongozi mkuu wa Nchi, Rais ni Taasisi, sasa kama amejiridhisha kwenye vyombo kwa jambo hili la chanjo ni jambo salama tena amesema itakuwa chanjo ya hiari.
Amemaliza kuunganisha mikoa yote kwa lami au ni mwendelezo wa kutaka kuonekana
 
Waitara mbona unazunguka mbuyu?, Gwajima ndiyo kasema na yupo pale Kawe kanisani kwake muda huu - si ule kichwa badala ya kulalamika lalamika.

Sasa unatulalamikia sisi wananchi tukusaidiaje?
 
Mlinitaka weyewe lazima mng'ate meno.siasa na dini nyerere alivitenganisha.kwa akili yenu ya ukubwa wa chawa.mkavichanganya.kuweni wavumilivu
 
Waitara tata, hivi uliacha tabia ya kulewa lewa? kama bado jiangalie sana
 
wanaogopana wenyewe kwa wenyewe na wanamuogopa Gwajima zaidi kwa kuwa ana halaiki ya waumini wake ambao anawatumia katika kutimiza kila jambo lako. Kwa kifupi washamshindwa Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…