Elections 2010 Mwita Waitara Mwikwabe ashinda kura za maoni Tarime

Teh Teh Teh

Member
Joined
Nov 13, 2009
Posts
41
Reaction score
9
Mwita Waitara Mwikwabe ameshinda kura za maoni za CHADEMA kwa kura nyingi dhidi ya Mbunge wa Sasa Charles Mwera, ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri akimfatia. Nafasi ya tatu imeenda kwa John Heche.

CHADEMA imepeta sana TARIME kwani huyu jamaa anaweza kuvaa viatu na kuziba pengo la Chacha Wangwe.

Hongera sana MWita Mwikwabe.

Hongera saba CHADEMA.

Nampa Hongera sana Mwita, hii ni moja ya siraha nzito kutoka CHADEMA. kila la kheri
 
Muhimu hili jimbo lisende kwa CCM kama Mwita ni mgombea makini tunategemea litabaki kwa chadema
 
Labda waibe kura,CCM Tarime hawana chao. Binadamu hubadilika,ila nina imani na jamaa wa Tarime. Wanaweza.
 
Mwera asihame chama tu!
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.
 
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu whamyuala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.
hata mimi namfahamu huyo jama kama humjui utampenda ila ukimjua utamchukia?
hata mimi namfah
 
Hongera sana kaka Mwita, ninamutaini utafanya uwezalo kutaleta umoja na maendeleo jimbo la Tarime na kukiimarisha chama. Pole sana Charles Mwera lakini bado unahitajika sana kwenye council.
 
Do not count anything from Mwita mwakwabe
Jamani mimi nimesoma na mwita faculty mona namjua vizuri na alikuwa mshikaji wangu sana tena sana, anapenda uongozi tu kama kawaida yao, ila perfomance kwanza ni F, pili ni mbinafzi sana na anapenda kujiangalia yeye tu bandugu
Hivyo kwa mwita tumepoteza ndugu zangu hana lolote
waulizeni UDSM 2004 alifanya nini pale

Najua inakuuma saaana kuona Mwita anapeta, mimi namujua mwita lakini wewe umekaa ki ant-mwita
Jamaa ni mpiganiji wa ukweli
 
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.

MohamedSalum200,
SI KWELI, Nalikanusha hili ya Mwita kuwa msaliti. Udhaifu pekee aliokuwa nao ambao kwa mtazamo wangu ni udhaifu wa viongozi wengi wazuri au niuweke kama ulevi wa viongozi vijana ni: Kuwapa mimba wasichana hovyo hovyo katika kipindi chake. Na hata alipokuja Mwita mwingine (Magesa) udhaifu wake ukawa huu huu. Labda kama uongozi mbovu wa Mwita (Magesa) ndiyo unaousemea! Mwikabe was strong
 
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.

nashukuru mwenzangu umeandika ukweli, uyu jamaa ni hopeless of all people, kipindi anagombea daruso tulimpigania sana hata akashinda akijitambulisha kua yeye ni mpiganaji wa kweli lakini alivyoingia daruso mama yangu, alikua ndio kiongozi bomu kuliko wote, ana jazba anadhan uongoz kila siku ni kutokusikiliza mamlaka za juu, mbishi, anataka kila analotaka yeye lifanyike hata kama muda si sahihi na haangalii mazingira ya kuropoka!
 
Kweli mmenikumbusha mbali kidogo. Kumbe nazeeka sasa!
Na je, vipi kuhusu Bahati Tweve ukilimganisha na huyu Mwikabe?
 
vipi kuhusu Bahati Tweve ukilimganisha na huyu Mwikabe?

Honestly,

Between the two I will go for Tweve even though he need to differentiate between Activism and Leadership.But Mwita anaendana na siasa za Musoma.
 
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.

upuuzi mtupu
 
Jamaa ni Mpiganaji...Ila ana Jazba sana na hupenda KuBoss watu sana......................!!! Kila la kheri....Bungeni sio Daruso
 
Mie mwenyewe namfaham fika Mwita. The guy is good. Huwezi kumlinganisha na Bahati Tweve hata kidogo. Jamaa ni mzuri na mwenye msimamo.
 
Mwita ameniongoza pale udsm akiwa Rais wa DARUSO, na ameondoka akiwa na heshima yake kubwa sana miongoni mwa wanafunzi wa UDSM.
Mwita ni mpiganaji sana, toka aondoke Udsm hajawahi patikana mpigani kama Mwita. Kwa kweli Mwita ni mtu anayehitajika sana katika kipindi hiki ambacho taifa letu linapita. Ni mtu anayesimamia kile anachokiamini, hayumbishwi wala hababaishwi kwa kile anachokiamini, ni mjenzi mzuri wa hoja zisizoyumba. Ni mzoefu katika mapambano .Mwita ni muhimu kwa Tanzania ya leo.
 
Back
Top Bottom