Teh Teh Teh
Member
- Nov 13, 2009
- 41
- 9
Labda waibe kura,CCM Tarime hawana chao. Binadamu hubadilika,ila nina imani na jamaa wa Tarime. Wanaweza.Muhimu hili jimbo lisende kwa CCM kama Mwita ni mgombea makini tunategemea litabaki kwa chadema
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.Mwera asihame chama tu!
hata mimi namfahamu huyo jama kama humjui utampenda ila ukimjua utamchukia?Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu whamyuala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.
Do not count anything from Mwita mwakwabe
Jamani mimi nimesoma na mwita faculty mona namjua vizuri na alikuwa mshikaji wangu sana tena sana, anapenda uongozi tu kama kawaida yao, ila perfomance kwanza ni F, pili ni mbinafzi sana na anapenda kujiangalia yeye tu bandugu
Hivyo kwa mwita tumepoteza ndugu zangu hana lolote
waulizeni UDSM 2004 alifanya nini pale
Huyu jamaa hamna kitu ni msaliti.namfahamu vizuri alikuwa rais wa daruso.alitufanya tusilale kulinda kura ,lakini alivyopata ndiye kiongozi aliyeboronga kuliko wote hafai hata kidogo.ni mbinafsi wa hali ya juu wala si mtetezi kama mnavyodai.poleni kwa kumshabikia mtu bila kumjua.muulize mtu yeyote aliyemaliza udsm miaka hiyo atakwambia.

nashukuru mwenzangu umeandika ukweli, uyu jamaa ni hopeless of all people, kipindi anagombea daruso tulimpigania sana hata akashinda akijitambulisha kua yeye ni mpiganaji wa kweli lakini alivyoingia daruso mama yangu, alikua ndio kiongozi bomu kuliko wote, ana jazba anadhan uongoz kila siku ni kutokusikiliza mamlaka za juu, mbishi, anataka kila analotaka yeye lifanyike hata kama muda si sahihi na haangalii mazingira ya kuropoka!
vipi kuhusu Bahati Tweve ukilimganisha na huyu Mwikabe?
Najua inakuuma saaana kuona Mwita anapeta, mimi namujua mwita lakini wewe umekaa ki ant-mwita
Jamaa ni mpiganiji wa ukweli