Sema kweli ebu weka pichaHahah!! Shem nipo natimiza masharti ya mganga aliniambia nikae kwenye mvua
Hakika mkuuNaona unaongeza siku mkuu
Hahhahah sawa banaHao ndo wazuriiii washapitia changamoto nyingii ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana na huu moyo aisee shetani mwenyewe anauogopaNaunga mkono hojaa
Nanunaje jamani ningekuwa sijapata mbebez ningenuna mnuno sio wa nchi hiiUshaanza kununaa
Tupo na mzigua kwenye mvua atakutumiaSema kweli ebu weka picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakika boss, au wewe unasemaje?
Mbona mm kama napinga hivi jamaniHakika boss, au wewe unasemaje?
Naomba nimjuee kabla sijakuacha rasmii [emoji4] [emoji4]We baba d achana na mambo zako za wivu jamani anajua jamani wasije wakaniibia na yeye mana zangu mm ni kuibiwa tu
Akhuu wala mm nawafurahia tuHapo unapiga picha ungelikuwa wewe
Poa lovieNgoja nilale kidogoo
Uweke weweTupo na mzigua kwenye mvua atakutumia
Aiseeee hiko kicheko vipiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba nimjuee kabla sijakuacha rasmii [emoji4] [emoji4]
Utakua unaforce ubishi tu sasa jmn maana ustaarabu ndio sifa yangu kubwaMbona mm kama napinga hivi jamani
Sakayo unacheeeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SoonUweke wewe
Sema kweliUtakua unaforce ubishi tu sasa jmn maana ustaarabu ndio sifa yangu kubwa