Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

[emoji3] [emoji3]
Vipi hamjabebwa na mafuriko nasikia kuna viumbe wameokotwa jangwani wakiwa wamelala kitandani wanaelekea beach .
Mungu awatie nguvu tu masikini ni maisha tu unafkiri wanapenda kuishi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…