Ila godoro unalea juu kama vile papa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahah smartphone haiwezi lowa acha vilowe vyote lakini sio hiyo
Leo ni kula nakulala hakuna kitoka nyumbani labda mtu kama kitanda na godoroBasi zero ana fujo kisa yeye kaamka
Kuna wakati naonaga aibu sana kusimulia masahibu yaliowahi tukuta humu Jf...... tehteehhhMnapanga miadi mnakutana wote ndevu zimejaa uso mzima [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mifuko wa nailon hivi hizi mvua wanawake na mawigi yao hawalowi wanavaa kichwaniHahahahahahaaa.
Utaificha wapi ambapo vyote vitalowa isipokuwa Smartphone?
Yaani nimesikiliza nyimbo mpaka nimezikariri zoteLeo ni kula nakulala hakuna kitoka nyumbani labda mtu kama kitanda na godoro
vimelowa hapo ngumu usingizi hakuna kabisa
Hahahaa kumbe huwa mnakumbanaga nazo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]inakuwa siri yenu nakubadili ID zenu basiKuna wakati naonaga aibu sana kusimulia masahibu yaliowahi tukuta humu Jf...... tehteehhh
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]si mchezo leo na mvua bado ipo, mpaka hali itulie utakuwa unaimba mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani nimesikiliza nyimbo mpaka nimezikariri zote
Hahah!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]si mchezo leo na mvua bado ipo, mpaka hali itulie utakuwa unaimba mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
cc mshana jrDemisss cha mdekooooo
[emoji23][emoji23][emoji23]ikiwa tayari nazani nitakuwa wakwanza kukusapotHahah!!
Nitaanza na kutunga zangu, tena mpaka msimu uisha nahisi nitakua na album tayari
Hahah itakua poa sana, ndio wadau wenyewe nyie[emoji23][emoji23][emoji23]ikiwa tayari nazani nitakuwa wakwanza kukusapot
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kule kunako labda mkuu
Kesho ipo mpaka jumatano lazima kitu cha uhakika kipatikane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahah itakua poa sana, ndio wadau wenyewe nyie
[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] saaana hakuna haja ya kupanga safari yakwenda coco beach tunazungukiana humu humuLeo dar wote mko beach
Hakika ngoja nifanye kweli ili na wewe uwe kama kina TaleKesho ipo mpaka jumatano lazima kitu cha uhakika kipatikane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha haaa ukinishirikisha kuchombeza humo naweza ila kuimba tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakika ngoja nifanye kweli ili na wewe uwe kama kina Tale
Hahah!! Poa basi ngoja tutawasiliana tutoe kituHahaha haaa ukinishirikisha kuchombeza humo naweza ila kuimba tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]