Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa busara anilipe tu sio kwa kazi hii aliyonipa
Maradhi yako nayajua usjalMimi niko naumwa kaka bonny
Asante shem mimi piaJamani shemu!
Nimefurahi saaana kukuona
HajaendaDada umekumbuka kwenda kanisani
Si unajuwa vile nakapenda ako ka avatar sijui ulibadili ukaweka vitoto gani nikamwambia ebu naomba utoe urudishe avatar niliyoizoeaHahaha
Ntafanyaje sasa nshaitwa tayr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unaenda pm
KhaaaaHahaha si umfate pm na wewe kwani umekatazwa jamani
Huyo yupo mnapishana tuAmen, huyu sakayo naye alipotelea wapi
HahahaHata mia sijapewa yaan hata dalili sioni nikiongelea mambo za kulipwa sijibiwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata dalili ya kulipwa siioniHahaha
Nikajua ushalipwa jamanii, sio kwa ukauzu ulee!!
Bila vyuma watu tutakimbiana humu[emoji23]Jamani vyuma vinahusiana na nini lakini kwa kukumiss usinifanyie hivyo inabidi tukubaliane na hali tu
Asante kaka bonny kwahiyo unajuwa maradhi niliyokuwa nayoMaradhi yako nayajua usjal
Halafu ndo wanaogopa hata kunitaja! Wakati walinifanya nikule banAlikuwa pamoja na wachuchu wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibiaHajaenda
Nipo shemuAmen, huyu sakayo naye alipotelea wapi
WoyooooooooNtafanyaje sasa nshaitwa tayr
HahahaMambo ni moto
Mfate jamani young hana shidaKhaaaa
AbeeeeEeee Sakayo
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unaenda pm