Akiii sijapewa hivi ningepewa mzee wa busara angesema hapaHahaha
Usinidanganye mie! Wewe huyooo
Wewe hiyo PM yako sijui umeifunga na makufuli mangapi maana sijawahi kusikia imefunguliwa au funguo zimepotea shem.Sasa kwa mie ndo nasota!
AiseeeMimi niko naumwa kaka bonny
Hatukimbiani kwa shida na rahaBila vyuma watu tutakimbiana humu[emoji23]
MmmhMaradhi yako nayajua usjal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ndo wanaogopa hata kunitaja! Wakati walinifanya nikule ban
AsanteAsante shem mimi pia
Niko hapa mie hakiharibiki kituHahaha
Muone
Mdondokee huyo huyo mtoto wa kitanga anakufaa.Ha ha ha nzur dada mambo? Natafuta wa kumdondokea c unaona mvua hz
Nimefanyaje lakiniYaani wewe
Hivi ilikuwaje eti, sijawahi kukuona vile! Nikajisemea huyu kehakula 50 sasa hataki utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata dalili ya kulipwa siioni
Hayo ndiyo maajabu ya sakayo.Hahaha si umfate pm na wewe kwani umekatazwa jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibia
Hataki huyo ukiona hivyoWewe hiyo PM yako sijui umeifunga na makufuli mangapi maana sijawahi kusikia imefunguliwa au funguo zimepotea shem.
Naogopa akiMfate jamani young hana shida
Nini jamani niko naumwa na twende kilioni zanguAiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh
Hahaha,kwani Abdul Nondo amejitekaje!Umejitekaje lakini young
WoyoooooooooooMdondokee huyo huyo mtoto wa kitanga anakufaa.