sijamsoma kapeace humu siku nyingi [emoji23][emoji28][emoji23]Kiba100 kizuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaa
Kisa cha kusahau jina languu
AbeeeeeSakayooooo
Uko nondo umejipanga balaa dadadadeq!!Sijakuchoka dada upo nae karibu huwezi juwa unaweza pata tatizo young akawa mtu wa karibu kukusaidia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hakuna kukulwa kifalaaa
hahaha hii style ya kushangilia au ni mshangaoo!!!Woyoooooo
Nisamehe mimina huu weusi wangu inawezekana nimeongezeka mara mia...hanioni kabisa huyo dada yangu[emoji134][emoji134][emoji30][emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]La kihindi star salman Khan .
Ni nini lakiniDuuh
[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha la kihindi
ahahahah siki hizi mmoja utachekwaWote hao wako mkuu
We Cheka tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu dada nawaza tu mtu ndio ana picha yako si ndio anakusambazia pm huko unachoreka bila kujijuaHahaha
Hayo ndo yananitisha humu
HahahahSio kwa kukisifia kiB@100 huko daaaaah!
SawaFanya mpango ujuane nae vizuri.
Nimekuita weeeeeeeee unanipiga chenga zako kama za mchezaji wa nanliu, muone vile!Muone
Muite wako aje hapa
Nikute tuu nabembea jf na sura yangu ya baba!!Mm dhamana yake